GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Aug 12, 2024 #1 Nina uhakika kabisa tena wa 100% kuwa Message Sent and Delivered accordingly kwa wenye huu UPUUZI TUKUKA JF.
Nina uhakika kabisa tena wa 100% kuwa Message Sent and Delivered accordingly kwa wenye huu UPUUZI TUKUKA JF.
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Aug 12, 2024 #2 Huyo atakuwa shabiki wa Simba anastess zake
Nyaubikra JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 1,339 Reaction score 3,319 Aug 12, 2024 #3 GENTAMYCINE Toka uiseme simba vibaya sitalike post zako mpk tupate ubingwa.
ngosha wa mwanza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 3,832 Reaction score 11,964 Aug 12, 2024 #4 Kuna watu Humu sijui maisha yamewapiga wakapigika hasa. Hivyo wanakuja JF na makasiliko+stres unakuta mtu anakutukana tu bila sababu ukimjibu tu anaita maderator ili wakupige ban..Ajabu sasa unakuta ni wanaume aisee inasikitisha sana.
Kuna watu Humu sijui maisha yamewapiga wakapigika hasa. Hivyo wanakuja JF na makasiliko+stres unakuta mtu anakutukana tu bila sababu ukimjibu tu anaita maderator ili wakupige ban..Ajabu sasa unakuta ni wanaume aisee inasikitisha sana.
N njinjo JF-Expert Member Joined Feb 15, 2019 Posts 4,001 Reaction score 5,374 Aug 12, 2024 #5 GENTAMYCINE said: Nina uhakika kabisa tena wa 100% kuwa Message Sent and Delivered accordingly kwa wenye huu UPUUZI TUKUKA JF. Click to expand... Hasira za Yanga kuibandua Simba na Jana bila hiana kuinyuka Azam.
GENTAMYCINE said: Nina uhakika kabisa tena wa 100% kuwa Message Sent and Delivered accordingly kwa wenye huu UPUUZI TUKUKA JF. Click to expand... Hasira za Yanga kuibandua Simba na Jana bila hiana kuinyuka Azam.
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 16,464 Reaction score 35,629 Sep 4, 2024 #6 Hakuna upuuzi uliotukuka bhanaaa halafu likes au dislikes za humu hazipunguzi wala hazituongezei kitu
Hakuna upuuzi uliotukuka bhanaaa halafu likes au dislikes za humu hazipunguzi wala hazituongezei kitu
Fortyseven JF-Expert Member Joined Oct 30, 2020 Posts 1,129 Reaction score 2,142 Sep 4, 2024 #7 GENTAMYCINE said: Nina uhakika kabisa tena wa 100% kuwa Message Sent and Delivered accordingly kwa wenye huu UPUUZI TUKUKA JF. Click to expand... kulia lia kisa kupewa dislike napo ni dalili tosha ya ugonjwa wa akili pia.π€£π ππππ
GENTAMYCINE said: Nina uhakika kabisa tena wa 100% kuwa Message Sent and Delivered accordingly kwa wenye huu UPUUZI TUKUKA JF. Click to expand... kulia lia kisa kupewa dislike napo ni dalili tosha ya ugonjwa wa akili pia.π€£π ππππ