johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa wasafiri waendao Marekani wanatakiwa kupima covid-19 siku moja kabla ya safari na kupewa kibali.
Kwa wanaosafiri kwenda Uingereza wanatakiwa kupima covid-19 siku mbili kabla ya safari na kupewa kibali
Watanzania tuzingatie hili.
Kwa wanaosafiri kwenda Uingereza wanatakiwa kupima covid-19 siku mbili kabla ya safari na kupewa kibali
Watanzania tuzingatie hili.