johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unayo safari kwenda huko?Kwa wasafiri waendao Marekani wanatakiwa kupima covid 19 siku moja kabla ya safari na kupewa kibali.
Kwa wanaosafiri kwenda Uingereza wanatakiwa kupima covid 19 siku mbili kabla ya safari na kupewa kibali
Watanzania tuzingatie hili.
Unasafiri lini?Kwa wasafiri waendao Marekani wanatakiwa kupima covid 19 siku moja kabla ya safari na kupewa kibali.
Kwa wanaosafiri kwenda Uingereza wanatakiwa kupima covid 19 siku mbili kabla ya safari na kupewa kibali
Watanzania tuzingatie hili.
Kwenda wapi?Unasafiri lini?
Huko ulikokueleza.Kwenda wapi?