Kuingia Period kabla ya muda, Tatizo ni nini? Naomba msaada.

Kuingia Period kabla ya muda, Tatizo ni nini? Naomba msaada.

Matone ya damu yapoje? Ni kama mabonge ya damu? Na si kweli kwamba hahisi maumivu makali, mtazame kwa makini kama unamuona ana maumivu makali au mbembeleze akwambie ukweli kama anasikia maumivu makali tangu alipoanza kubleed. Kama alianza sas 3 na sasa hivi maumivu hayahisi basi kuna kitu nakifikiria, muulize kwanza maswali haya.

1. Damu inayotoka ni mabonge mabonge ambayo hayafanani na damu ya kawaida, ikiwezekana mwambie mwanamke mwingine yotote atazame hiyo damu.

2. Wakati anaanza period ya leo muda wa saa 3 alikuwa anasikia maumivu makali?
Damu inayotoka ni matone matone sio mabonge.

Hahisi maumivu yoyote jambo ambalo limemshangaza na yeye maana haijawahi kutokea akiwa period.

Period iliyopita alipata maumivu kama kawaida akiwa period
 
Damu inayotoka ni matone matone sio mabonge.

Hahisi maumivu yoyote jambo ambalo limemshangaza na yeye maana haijawahi kutokea akiwa period.

Period iliyopita alipata maumivu kama kawaida akiwa period
Muda ambao alikuwa anaanza hiyo period ya saa 3 aliweza kufanya shughuli zake zozote au alikuwa amelala tu?
 
Kwahiyo huyo alokatwa mapanga ndio ana uume mkubwa? Au mahusiano yake na hilo ni nini haswa!!!
Ndio maana nimekuambia ikitokea mshutko katika mwili mabadiliko yanatokea kwani hapo hujaelewa bado?na pia kama mwanaume atakuwa na uume mkubwa inachangia pia [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Mi wangu aliingia tarehe 13/3 then akaja kuingia tena 24/3 halafu tena jana tarehe 21/4 ameingia tena je shida inaweza kuwa nini hapo!?
 
Mi wangu aliingia tarehe 13/3 then akaja kuingia tena 24/3 halafu tena jana tarehe 21/4 ameingia tena je shida inaweza kuwa nini hapo!?
Wakati anapata hiyo hali tarehe 24/3 ulimuuliza na kubaini sababu ya kutokea hiyo hali?

Ila 24/3 hadi 21/4 ni range nzuri ya mzunguko.
 
Mzunguko wake kwa kawaida ni siku 28 ila hiyo tarehe 13/3 ilitokea tu katikati ya mzunguko wake wa kawaida ila baadae akarudi kwenye tarehe zake za kawaida ndio maana nmeomba wajuzi mnifahamishe sababu
 
1 . Kuna shughuli yoyote aliyopaswa kuifanya na hakuifanya?
2. Hiyo damu yatoka nyingi kuliko ya period?
Hakuwa na kazi yoyote ya kufanya kwa leo.

Damu inatoka kama ya siku zote akiwa Period ya kawaida
 
Mzunguko wake kwa kawaida ni siku 28 ila hiyo tarehe 13/3 ilitokea tu katikati ya mzunguko wake wa kawaida ila baadae akarudi kwenye tarehe zake za kawaida ndio maana nmeomba wajuzi mnifahamishe sababu
Kwa hiyo tarehe 21/4 ndio ilikuwa ni muda sahihi kupata period yake ya siku zote kwenye mzunguko?
 
Kwa hiyo tarehe 21/4 ndio ilikuwa ni muda sahihi kupata period yake ya siku zote kwenye mzunguko?
Ndio, kinachonifanya niulize haya ni kwann aliingia katikati kabla ya mzunguko wake sahihi!!? Ile tarehe 13/3
 
Damu inayotoka ni matone matone sio mabonge.

Hahisi maumivu yoyote jambo ambalo limemshangaza na yeye maana haijawahi kutokea akiwa period.

Period iliyopita alipata maumivu kama kawaida akiwa period
Hiyo hali imesababishwa na Stress alizonazo hiyo ni kawaida kwa mwanamke akipatwa na mshtuko au mawazo ya ghafra,mwambie apunguze mawazo mambo yatakaa sawa
 
Hiyo hali imesababishwa na Stress alizonazo hiyo ni kawaida kwa mwanamke akipatwa na mshtuko au mawazo ya ghafra,mwambie apunguze mawazo mambo yatakaa sawa
Ahsante mkuu kwa ushauri wako
 
Poa poa Boss pia kaa nae umuulize chanzo cha hizo stress umsaidie kumliwaza mshauri na uyarahisishe ayaone ya kawaida hii itampunguzia kuwaza
Chanzo amezinguana na Mwl kwenye Assignment.
Walipewa individual Assignment, yeye akafanya baada ya kumaliza akamuomba mwanafunzi mwenzake akamfanyie typing kwa kutumia PC yake, maana yeye hana.

Wakati huo ilikuwa ni jioni mida ya saa moja na stationery walikuwa washafunga maana angeipeleka huko akafanyiwe typing.

Alisaidiwa kufanyiwa typing halafu kesho yake akaletewa akaenda kuiprint na kusubmit.

Baada ya Mwl kupitia kazi zao, wanafunzi kadhaa ikiwemo yeye ikabainika kazi zao zinafanana ndio wakaja kuulizwa kwa nini zimefana, akajieleza jinsi alivyoifanya kazi yake na akamuuliza mwenzake aliyempa amsaidie kutype kama aliigawa kazi yake kwa mtu akopi, akakataa kukiri kufanya hivyo.

Sasa Mwl akawaambia waandike Barua kujieleza kuhusu hilo sakata na sasa washaandika tayari na wamezisubmit. Hofu yake anafikiria hilo jambo ilihali yeye hajafanya kosa la kukopi ila mwingine ndio kakopi kazi yake jambo ambalo linampa stress sana.

Hajui maamuzi ya Mwl yatakuwaje.
 
Back
Top Bottom