Kwahiyo shida yako kweli ni mimba?Nawasubiri..
Labda anijibu kwanza hali hiyo imemtokea miaka yote au ndo mwezi huu imeanza, namsubiri!Ahahaaaaaa, Atabisha labda... πππ
Ulikuwa ukitumia njia za kisasa kuzuia mimba?mwezi huu mkuu peterchoka
Ok, kuvurugika kwa hedhi kunaweza kusababishwa na homoni kutokuwa sawa au msongo wa mawazo au ulikuwa ukijichua, mambo ni yaleyale kama yanayowatokea wanaume wanaposhindwa kusimamisha, siwezi kukupa jibu la moja kwa moja nenda kwanza hosp. kapime homoni kama zipo sawa, ni tatizo la kawaida na linatibika wala usiogopeHapana. peterchoka
Mbona unatoka povu kiasi hiki kiongozi, ?Wapo wenye matatizo hadi mara tatu. Kina dada mpunguze uzungu. Hapa ni kuanzia mavipodozi mnayopaka hadi mayai ya kuku wa maabara mnayobugia kama kenge vile.
Good advice dada Too face .kacheck balance ya hormone hospitali ili upate na ushahuri wa kitaalamu zaidi.Ok, kuvurugika kwa hedhi kunaweza kusababishwa na homoni kutokuwa sawa au msongo wa mawazo au ulikuwa ukijichua, mambo ni yaleyale kama yanayowatokea wanaume wanaposhindwa kusimamisha, siwezi kukupa jibu la moja kwa moja nenda kwanza hosp. kapime homoni kama zipo sawa, ni tatizo la kawaida na linatibika wala usiogope