masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Siyo siri, katika Awamu ya Tano iliyopita Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama viliingiliwa kiutendaji kiwazi wazi.
Hii inaweza leta athari kubwa sana lisipokabiliwa mapema. Tunaona sasa hivi kwa mfano hao vijana wa JKT walioahidiwa ajira utafikiri wanaajiriwa kiwandani.
Kucheza na hivi vyombo kunaweza leta athari kubwa sana kwa usalama wa nchi.
Wabunge msimung’unye maneno, KOSA NI KOSA!