masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Ha ha ha twafa!Hao Wabunge wa kulijadili hilo suala ni Wabunge wa Bunge lipi hilo? Hili hili la Ndugai?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hao Wabunge wa kulijadili hilo suala ni Wabunge wa Bunge lipi hilo? Hili hili la Ndugai?
Mama katupa neno jipya "wanademka" kwa ngoma zisizowahusu hadi wanasahau kujadili bajetiwabunge wa ccm waache kuzodoana ili kutetea maslahi yao ndani ya chama, wajadili masuala mtambuka yanayohusu vijana?. sidhani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa point yangu.Sasa wewe unaweza sema ni sera ipi hiyoo...
Wale wa ”legacy” sijui wako wapi uzi huu?Siyo siri, katika Awamu ya Tano iliyopita Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama viliingiliwa kiutendaji kiwazi wazi...
Mwafaa - JPM.Ha ha ha twafa!
Hii uingiliaji wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ikigeuzwa kuwa tabia ya wanasias, kweli twafwaa!Mwafaa - JPM.
Mawazo ya ki civilian kweli. Unaonekana hata Scout hukupitia halafu unakurupuka kuleta mada ya Majeshi. Mods, hii thread ifutwe , inalidhalilisha jukwaa.Hujaelewa point yangu.
Huwezi kusimama jukwaani na kusema mafundi waashi nitawaajiri kama wanajeshi!
Kuingia jeshi kuna vigezo muhimu.
Hii uingiliaji wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ikigeuzwa kuwa tabia ya wanasias, kweli twafwaa!
We kuruta ,kwanz piga saluti , tunajua zaidi ya ujuavyo.Mawazo ya ki civilian kweli. Unaonekana hata Scout hukupitia halafu unakurupuka kuleta mada ya Majeshi. Mods, hii thread ifutwe , inalidhalilisha jukwaa.