inategemea unatumia ipod ya aina gani, kwa kawaida apple hawaruhusu third party applications (software iliyotengenezwa na kampuni au nje ya apple).
kwa hiyo kama bado ni original, haijafanyiwa modification inaweza kuwa vigumu kwako kuweka mazagazaga ya kienyeji; lakini kama hujabadilisha kitu nenda website ya apple (apple.com), download itunes kwenye kompyuta yako - baada ya hapo kazi kwako.