Kuingiza kwenye payrol

UMBEEE

Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
40
Reaction score
17
habari wanajf. nisaidieni eti kama mtu ameingizwa kwenye payral halafu baadaye wakagundua hakukwalify kwa kazi aliyopangiwa je kumtoa inakuaje?
 
Soo simple wanaterminate kwa system ya lawsaw hata dk mbili hazipiti
habari wanajf. nisaidieni eti kama mtu ameingizwa kwenye payral halafu baadaye wakagundua hakukwalify kwa kazi aliyopangiwa je kumtoa inakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…