Kuingiza mifugo kutoka nje ya nchi inahitaji vibali vya aina gani?

Kuingiza mifugo kutoka nje ya nchi inahitaji vibali vya aina gani?

spray

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
277
Reaction score
241
Wanajamii wazima?
Kwanza poleni uongozi kwa kutokua hewani kipindi kile, mimi hadi leo app inanisumbua, haifungui, nimeunistall nikainstall tena lakini wapi...

Nije kwenye suala langu, nataka niingize mfugo toka nchi jirani, nitaingiza kwa gari..je vibali aina ngapi nataka niwe navyo niepukane na kuchomewa kama ilivyotokea kwa wale vifaranga,

Thanks
Spray
 
Mifugo gani? Kuna aina za Mifugo ambayo ni restricted.

Unatakiwa kujua aina ya mfugo na kutamka tu mfugo haitoshi
 
Huu uzi ungeupeleka kwenye jukwaa la kilimanjaro Kwa na mifugo kule nahisi ingekua rahisi kusaidika zaidi! (wazo tu)
 
Back
Top Bottom