Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Hukunielewa kakaSukari toka Dubai????
Siyo toka Zambia ama Malawi hata????
Nina mashaka kidogo!
Ila ngoja wadau waje!
Majibu mazuri utapata!
Sukari toka Dubai????
Siyo toka Zambia ama Malawi hata????
Nina mashaka kidogo!
Ila ngoja wadau waje!
Majibu mazuri utapata!
Habari zenu wakubwa
Nimepata line ya kuingiza sukari Tanzania baada ya kukutana na wafanyabiashara hiyo Dubai (sukari haitokei Dubai bali hawa jamaa wana base hapa)
Naweza kupewa tani nitakazo lakini jamaa bado sijakubaliana nao kitu
sasa naskia biashara ya sukari ina syndicate tanzania yaani Mohd entreprises, bakhressa peke yao
Je wanunuzi wakubwa wa sukari ni serikali au watu binafsi?
Je Tanzania soko lipo?
Je chajuu changu ni negotiate na nani?
Inalipa?
Hukunielewa kaka
jamaa nilikutana nao hapa Dubai ni wafanya baishara wanapeleka Sukari kwa meli nchi mbali mbali duniani
Dubai ni kama ofisi tuu kaka
Kamanda nimekupata lakini nilitaka tuu kujua maana sijawahi kuifanya hii biashara na sijui mambo ya kodi na mengineyo kama niliyokuuliza yanakwendaje.Mkuu hivi ulishawahi kufanya biashara yoyote? Mbona unauliza cha juu upatane na nani? Kuna hao Supplier --- Wewe ---- Buyers (private enterprise, wholesalers ...). Hapo unategemea unegotiate na nani? Anyway hayo tuyaache, mimi nitakujibu kwenye RED tu hiyo conspiracy watakuja kukujibu wenye data
Je wanunuzi wakubwa wa sukari ni serikali au watu binafsi?
Wanunuzi wakubwa si Serikali, bali ni viwanda (private enterprise); hawa hununua in bulky, na watu binafsi; hawa hununua rejareja. Sasa soko zuri kwako ni wauzaji wa jumla na watu wenye viwanda.
Je Tanzania soko lipo?
Soko lipo, na demand ni kubwa kuliko Spply ndio maana bei inapanda kila kukicha (ingawa kupanda kwa bei kumechangiwa pia na kupanda kwa gharama za uzalishaji)
Inalipa?
Kama soko lipo ina maana inalipa
Mkuu hivi ulishawahi kufanya biashara yoyote? Mbona unauliza cha juu upatane na nani? Kuna hao Supplier --- Wewe ---- Buyers (private enterprise, wholesalers ...). Hapo unategemea unegotiate na nani? Anyway hayo tuyaache, mimi nitakujibu kwenye RED tu hiyo conspiracy watakuja kukujibu wenye data
Je wanunuzi wakubwa wa sukari ni serikali au watu binafsi?
Wanunuzi wakubwa si Serikali, bali ni viwanda (private enterprise); hawa hununua in bulky, na watu binafsi; hawa hununua rejareja. Sasa soko zuri kwako ni wauzaji wa jumla na watu wenye viwanda.
Je Tanzania soko lipo?
Soko lipo, na demand ni kubwa kuliko Spply ndio maana bei inapanda kila kukicha (ingawa kupanda kwa bei kumechangiwa pia na kupanda kwa gharama za uzalishaji)
Inalipa?
Kama soko lipo ina maana inalipa
Hapo kwenye inalipa inadepend,usisahau huyu jamaa anasafirisha hiyo sukari from sijui brazili au dubai na inahitaji gharama,hatujui ananunua huko kwa bei gani,hatujui kodi atalipa kiasi gani,hata kama demand ikiwa kubwa lakini lazima ataendana na bei ya soko.kwa hiyo anahitaji mchakato mkubwa wa mahesabu na uchunguzi wa kina.
Jua kuwa unaitaji leseni ya sugar import toka bodi ya sukari hapa ndo kuna muziki munene
Hapo kwenye inalipa inadepend,usisahau huyu jamaa anasafirisha hiyo sukari from sijui brazili au dubai na inahitaji gharama,hatujui ananunua huko kwa bei gani,hatujui kodi atalipa kiasi gani,hata kama demand ikiwa kubwa lakini lazima ataendana na bei ya soko.kwa hiyo anahitaji mchakato mkubwa wa mahesabu na uchunguzi wa kina.
Hahaha ndiyo kufukua kwenyewe hukoHa ha ha
Mkuu sifukui
Mimi nafurahia sana nondo za miaka ilee ya manguli wa JF.
Siku hizi hakuna threads za maana