Sasa bibie RR unamshauri nini dada/mama wa watu? Akashtaki siyo?Even when performed by a male Gynecologist the presence of a female professional (Med Doctor au hata Nurse) is required.
Furthermore walitakiwa kumwambia about all other alternatives that exist to that examination method...
...
I think the goal here should be to engender trust and confidence between the doctor and patient in order to make patients as comfortable as possible. If the practice is to have a third party to audit such examination, how would the doctors feel? Not trusted? Insisting having a third person during examination may undermine the trust and confidence between the doctor and patient. In deed, for many patients, it turns out a third party can make them feel uncomfortable.
But kama daktari amekiuka ethics zilizowekwa then necessary actions should be taken.
Leo nlienda dispensary, nikiwa nahisi maumivu makali kwenye kipofu, nlihisi ni UTI (sijui kitaalam), baada ya kumweleza doctor tatizo langu aliniambia nivue nguo zote kisha nipande kitandani. Kilichonikera zaidi ni kwamba alivaa gloves, na kuniingizia vidole kwenye uke, kimsingi alikuwa ananiumiza, nlipo mweleza akaniambia hayo ni mambo ya kawaida huku, kisha akasema alikuwa anachek kama kuna uchafu. Naamini kuna madaktari Jf, naomba msaada ili nifaham,
1)Je ni utaratibu unaokubalika kutumia vidole kumpima mtu anyehisi maumivu ya kibofu?
2) Ni uchafu wa aina gan angeweza kuubaini kwa vidole vyake?
Naomba ushauri wa Dr.
Nafikiri haijawa njema kabisa. Kwanza kuvua nguo zote wakati anataka kuangalia maumivu ya sehemu fulani haileti kwenye akili ya kawaida.
Nashauri wakati mwingine ukatae ikiwezekana uombe kuchekiwa na Dr wa jinsia yako. Pole
Kwa mwanamke ukishasema tumbo linauma your very complex, kwa kawaida lazima akuulize kama kuna uchafu unatoka ukeni, unapokojoa mkojo unauma, unaharisha au unajua vidonda vya tumbo. Yote haya yanaweza sababisha maumivu chini ya kitovu.
Wanawake almost 90% ukitoka uchafu mweupe kama maziwa yaliyo ganda watakwambia uchafu wa kawaida. Infact hii ni fungus na inasababisha sana maumivu chini ya kitovu. Dr asipochunguza kwa kuweka vidole ukeni unaweza ukanywa madawa aina zote na usipone. Kwa hiyo dada hii ni kawaida. Juzi kuna dada kaja na maumivu kama yako na akiulizwa kama kunauchafu unatoka anakataa nilipompima nilikuta uji umejaa balaa sijui hata mumewe anaenjoy vp na ile miuji.
Lakini huruhusiwi kuingiza vidole kwa binti ambaye ni bikra coz eneo la ukeni huwa tunaamini ni safi na si busara kuvuja bikra ya watu.
Wakati mwingine kuna masister do wanakuja wanaringa na dharau au warembo watu kama hawa wakija akikaa vibaya nampiga finger.
Pole kama hukuandaliwa kawaida Dr anatakiwa kuseek consent kwako mpaka ukubali ukikataa harusiwi kukufanyia kipimo chochote bila ridhaa yako. Be blessed.
Mimi ningeenda kushtaki, ila yeye naona hakupeleka thread yake Law forum, si unaona ipo JF Drs?. Nataka ajue tu kua it could be qualified as an abuse (EMT alisema kuna mengi ya kuchunguza before it is qualified as such). Wengi wanafanywa hivo sababu hawajui haki zao.Sasa bibie RR unamshauri nini dada/mama wa watu? Akashtaki siyo?
You don't have to, unless you are comfortable doing it.Pole sana dada, hata mimi nilishawahi kwenda hospitali moja tena kubwa tu nikiwa na tatizo kama lako nilivyoambiwa kipimo hicho nilikataa ikabidi daktari aniandikie tu dawa nashukuru tatizo liliisha ila leo angalau nimefumbuliwa macho kuna watu wamesema hicho kipimo ni cha kawaida nadhani siku nyingine ikitokea nitajitahidi kukubali kufanyiwa kipimo hicho
sasa bora cha mbele...kuna kile cha tigo eti wanaangalia kidole tumbo!
Mkuu, unaweza kutwambia what comes before that? shouldn't the gynecologist explain this to the patient BEFORE he starts the examination, and only do it with her consent?Speculum Examination
Before starting the speculum exam, the doctor will warm the speculum to avoid any discomfort the patient may feel from a cold speculum. The doctor will then insert one finger into the vagina to locate the cervix and to determine the angle of the vagina. This is done so she will know the correct angle to insert the speculum. A speculum is a metal instrument that looks somewhat like a duck's bill. The "bills" are inserted into the vagina and opened in order to spread the vaginal walls and visualize the cervix. After the speculum has been opened, a cervical brush and then a spatula will be used to rub a sample of cells off the cervix. This may cause the patient to experience some spotting after the exam, but it will not hurt. The sample of cells is spread onto a slide and this is the Pap smear. Any samples for testing for infections will be collected. Some doctors screen for sexually transmitted diseases routinely. However, most tests will only be done if there is a reason. The speculum is then closed and removed from the patient's vagina. There will be some clicking noises during the locking and unlocking of the speculum; these noises are routine, so there is no need to be concerned by them.
Bimanual Exam
For this part of the exam, the doctor will lubricate her index and middle fingers with K-Y jelly to aid in the comfort of the patient during insertion into the vagina. The doctor will place these two fingers on the cervix while placing her other hand on the patient's abdomen (over her uterus). She will then press down lightly, which does not feel much different from when a doctor presses on the abdomen alone. Both hands are used to get a feeling for the size of the uterus. The doctor may use the fingers inside the vagina to move the cervix around a little to check for any pain, as this would indicate pelvic inflammatory disease. The doctor will then move both her fingers inside the vagina to both the right and left sides of the patient's cervix. She will move her abdominal hand also a little to the right and left to feel for the size of the ovaries and to try to locate any abnormalities. This whole exam may feel a little funny to the patient, but it won't hurt. The patient can try not to tighten her abdominal muscles during the procedure to minimize the discomfort. Some doctors may perform a rectal exam after the pelvic exam.
unajua nyie mnakuwa kama serikali ya JK. Kilicho siri, mnafanya wazi na kilicho wazi mnafanya siri. Siku zote hospitalini, madaktari bingwa huwa ni opposite sex. na nakwambia mwanamke kumtibu mwanamke mwenzie huwa ni ngumu sana. wanaume wanafnya suala hilo kwa umakini mkubwa. mimi sioni tatizo.
Mkuu, unaweza kutwambia what comes before that? shouldn't the gynecologist explain this to the patient BEFORE he starts the examination, and only do it with her consent?
Amekosa sana. peleka kesi mahakamani. Ni sexual abuse, not more, not less!
Alikwambia anacho fanya? na alitoa sababu sa kufanya hivo? sio sawa kabisa!
Ulichokuwa ukikitaka kakifanya sasa tatizo liko wapi..
1..Utaratibu huo uko shaka hamna na alitakiwa aingize dole kubwa ndio linatoa uchafu na kuingiza uchafu mbadala
2..Napita nitarudi baadae
BY MIMI DR MGOMO
Leo nlienda dispensary, nikiwa nahisi maumivu makali kwenye kipofu, nlihisi ni UTI (sijui kitaalam), baada ya kumweleza doctor tatizo langu aliniambia nivue nguo zote kisha nipande kitandani. Kilichonikera zaidi ni kwamba alivaa gloves, na kuniingizia vidole kwenye uke, kimsingi alikuwa ananiumiza, nlipo mweleza akaniambia hayo ni mambo ya kawaida huku, kisha akasema alikuwa anachek kama kuna uchafu. Naamini kuna madaktari Jf, naomba msaada ili nifaham,
1)Je ni utaratibu unaokubalika kutumia vidole kumpima mtu anyehisi maumivu ya kibofu?
2) Ni uchafu wa aina gan angeweza kuubaini kwa vidole vyake?
Naomba ushauri wa Dr.