tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Leo nlienda dispensary, nikiwa nahisi maumivu makali kwenye kipofu, nlihisi ni UTI (sijui kitaalam), baada ya kumweleza doctor tatizo langu aliniambia nivue nguo zote kisha nipande kitandani. Kilichonikera zaidi ni kwamba alivaa gloves, na kuniingizia vidole kwenye uke, kimsingi alikuwa ananiumiza, nlipo mweleza akaniambia hayo ni mambo ya kawaida huku, kisha akasema alikuwa anachek kama kuna uchafu. Naamini kuna madaktari Jf, naomba msaada ili nifaham,
Hivi mnakuwaga na haraka gani mnaposoma?Alivaa gloves?
Pole mleta mada hiyo ndio bongo zaidi ya uijuavyo sahau samehe then songa mbele, ila kwa inavyoonyesha hujapata mimba bado, sasa jiandae kwa zoezi hilo pindi upatapo mimba utaingiziwa vidole vinne just kuchek njia karibu kila baada ya wiki mbili.
........Hiyo ni kawaida mbona, tena ukija kuwa mjamzito ndio kabisa, kama wewe unaona aibu bora kwenda kwa daktari wa kike. Vile vile usisahau kufanya pap smear, tunashauriwa wanawake kufanya kila mwaka hichi kipimo.
sasa bora cha mbele...kuna kile cha tigo eti wanaangalia kidole tumbo!
Leo nlienda dispensary, nikiwa nahisi maumivu makali kwenye kipofu, nlihisi ni UTI (sijui kitaalam), baada ya kumweleza doctor tatizo langu aliniambia nivue nguo zote kisha nipande kitandani. Kilichonikera zaidi ni kwamba alivaa gloves, na kuniingizia vidole kwenye uke, kimsingi alikuwa ananiumiza, nlipo mweleza akaniambia hayo ni mambo ya kawaida huku, kisha akasema alikuwa anachek kama kuna uchafu. Naamini kuna madaktari Jf, naomba msaada ili nifaham,
1)Je ni utaratibu unaokubalika kutumia vidole kumpima mtu anyehisi maumivu ya kibofu?
2) Ni uchafu wa aina gan angeweza kuubaini kwa vidole vyake?
Naomba ushauri wa Dr.
ulitaka aingize kidole bila glove ndo ujue anakuthamini sana? Au ulitaka akuambie ujicheki mwenyewe?
really jf is never boringsasa bora cha mbele...kuna kile cha tigo eti wanaangalia kidole tumbo!
kichwa waziiii thubutu...mara ya kwanza nilitoa mjicho ila nikagundua ni kipimo cha kawaida baada ya kufanyiwa zaidi ya mara moja na madr tofauti mwingine wa akiwa jinsia yangu