Hapo umenena mkuu,Naona na iende mbali zaidi hata tume za uchaguzi za kitaifa nazo tuazimane hata ikiwezekana za Ulaya.KWaamuzi wana mchango mkubwa katika kuinua kiwango cha mpira nchini. Waamuzi pia ni wanachama na mashabiki wa timu fulani nchini tangu utotoni, hivyo ni rahisi kuisaidia timu yake inapokuwa uwanjani. Kuondoka na tabia hii nchi za Africa Mashariki zibadilishane waamuzi wa ligi kuu ili kupunguza upendeleo unaotokana na mahaba ya mwamuzi kwa club zao.
Nakataa...kuinua mpira piga chini malinziWaamuzi wana mchango mkubwa katika kuinua kiwango cha mpira nchini. Waamuzi pia ni wanachama na mashabiki wa timu fulani nchini tangu utotoni, hivyo ni rahisi kuisaidia timu yake inapokuwa uwanjani. Kuondoka na tabia hii nchi za Africa Mashariki zibadilishane waamuzi wa ligi kuu ili kupunguza upendeleo unaotokana na mahaba ya mwamuzi kwa club zao. Inabidi waamuzi wa huku wakachezeshe kule na wa kule waje kuchezesha huku, hii inaweza kusaidia mpira wa kanda hii
Tenga alikuwa kiongozi mkuu wa mpira aliyetokana na kikazi cha mpira, lakini hatukuona kitu cha maana kimetokea kwenye mpira wa Tanzania kipindi chake. Tuache fitina kwa Malinzi kuna factors nyingi Tanzania zaidi ya viongozi wa tffNakataa...kuinua mpira piga chini malinzi
Factor mojawapo ndo io ya viongoz mbofu mbofu haswa huyu wa sasa. Piga chini malinzi weka kijanaTenga alikuwa kiongozi mkuu wa mpira aliyetokana na kikazi cha mpira, lakini hatukuona kitu cha maana kimetokea kwenye mpira wa Tanzania kipindi chake. Tuache fitina kwa Malinzi kuna factors nyingi Tanzania zaidi ya viongozi wa tff