Z zayat JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 337 Reaction score 42 Jan 20, 2011 #1 Yanga ni timu ghali kuiona laki 2 lakini SIMBA bure free kabisa hii inamaana simba haina thamani au vipi? Mimi ni mshabiki wa Simba. POLENI WANA SIMBA WENZANGU TUMEKOSA KWENDA BRASIL :msela:
Yanga ni timu ghali kuiona laki 2 lakini SIMBA bure free kabisa hii inamaana simba haina thamani au vipi? Mimi ni mshabiki wa Simba. POLENI WANA SIMBA WENZANGU TUMEKOSA KWENDA BRASIL :msela: