DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Hao vijana miaka 18_28 hawawezi kupanga mstari kwenye jua wakapiga kura
Hivi hata ningekuwa mimi 2015 naanzaje kumpigia kura Mamvi? Hivi ntakuwa na akili timamu?
All in all maendeleo hayana chama
Sent using Jamii Forums mobile app
kugawa nchi kwa chadema ni sawa na kumpa chizi rungu.
CCM ITABAKI KUWA JUU TU.
Mwamba bado unakinyongo wewe.Kuna siku dada ulinichongea kwa admin ili nipigwe ban tokea siku ile nilikushusha thamani sana!
vijana bila wazee hawana maamuziSoma vizuri uelewe hapa wahusika ni 18-28 vijana tu sasa kama umeshazidi hapo hata ukiwa Nccr hakuna tatizo
100%kugawa nchi kwa chadema ni sawa na kumpa chizi rungu.
CCM ITABAKI KUWA JUU TU.
vijana bila wazee hawana maamuzi
Upinzani utaondoaje CCM madarakani kwa mfano?
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na wajumbe wake wanateuliwa na mwenyekiti wa CCM/Rais
Wakuuu wa mikoa na wilaya (makada wa CCM) ni wakuu wa vyombo vya usalama maeneo yao
Matokeo ya urais hayapingwi mahakamani
Sent using Fly in any Weather.
Sent using Fly in any Weather.
Kitengo Cha propaganda Cha chadema kimefeli asilimia sabini ya watanzania wanaishi vijijini wale ndio ccm halisi chadema inakomaa na vijana mijini na vijana wengi wao hawapigi kula chadema ikitaka kuchukua nchi inatakiwa ianzie vijijini huko sio kukomaa mjini tuu
Labda tuililie ile katiba mpya ya warioba....bila hivyo hamna kitu hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app