Tetesi: Kuipata simu ya IPHONE iliopotea / kuibiwa

Tetesi: Kuipata simu ya IPHONE iliopotea / kuibiwa

Premij canoon

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2018
Posts
1,203
Reaction score
2,771
Habari waku... Moja kwa moja niende kwenye mada.nilikua naomba kufahamishwa, kama nimeibiwa au kupoteza simu ya IPHONE naweza kuipataje? Maana naskia hizi cm ni rahisi sana kupatikana pindi kizipotea au kuibiwa..

Natanguliza shukraan
 
Utaipata kama uliweka account yako ya I cloud na location iwe on.
Usiweke pass code ili atakayeiba awe anaitumia
Na akiwa anaweka bundle/data kuipta ni siku moja tu utajua simu yako ipo wapi
 
Utaipata kama uliweka account yako ya I cloud na location iwe on.
Usiweke pass code ili atakayeiba awe anaitumia
Na akiwa anaweka bundle/data kuipta ni siku moja tu utajua simu yako ipo wapi

Anhaaa shukran mkuu ngoja nika turn ON chapchap [emoji119][emoji1436]‍♂️
 
Salama ya hizi simu naonaga ni mtu aloeokota kutokusoma au kujua kitu ulichokuwa unafanya ndani ya sim hio vinginevyo naonaga hakuna la zaidi nimeshuudia watu kama watano wamepoteza izo sim wakajidai kutafuta matokeo yake wameliwa pesa na polisi na wajanja wa mjini ikiokotwa tu wanauza inachinjwa wanatoa spea
 
Back
Top Bottom