Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,203
- 2,771
Umechapwa mkuu
Utaipata kama uliweka account yako ya I cloud na location iwe on.
Usiweke pass code ili atakayeiba awe anaitumia
Na akiwa anaweka bundle/data kuipta ni siku moja tu utajua simu yako ipo wapi
😬😬kinga mhimu mzeeHapana mkuu.. Nataka kujua tu ili siku nikichapwa nijue nafanyaje [emoji16]