kanamaheri
Member
- Sep 24, 2021
- 99
- 84
Hii tabia ya kuivua nguo nchi yako kwenye MAJUKWAA ya kimataifa inasaidia kivipi kushika DOLA kwa mtu, hapa afrika Kila mpinzani aliwaunda serikali alitumia MAJUKWAA ya kimataifa KUISEMA vibaya nchi yake huko nje? Kwa upumbavu huu wakutokujali hadhi na heshima ya Taifa lako.
Ni Bora CCM iendelee kuunda serikali Kila mara kwa sababu wanaosema wanania yakusishika dola ni watetezi wa mabeberu utafikiri wao wakiunda serikali hao jamaa watawapenda!. Nchi tunaipaka matope kana kwamba sisi si wahusika wa Taifa hili Bali ni wakimbizi!
Hata kumezea mengine hatuwezi hao mnawaaminisha nyumbani kwenu kunashida walishawahi kuwaambieni na wao yao?.