mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
Utaishi na wangapi mathematiics?
Kukutana mara mojamoja kwenye mgahawa, kwenda naye out, na vile anakuja kwako na kuondoka haitosh kumjua vizuri hasa kitabia huyo unayetaka awe mume/mke wa baadaye!
Ukiishi naye chumba/nyumba moja kwa muda wa miezi kadhaa isiyopungua mitatu au hata mwaka/miaka kwa muda huo mrefu ni lazima tu ataonyesha rangi zake halisi!
Ingawa hakuna binadamu aliyekamilika, lakini kuna binadamu wana tabia/vijitabia za/vya ajabu asikwambie mtu! ambavyo huwezi kuvigundua mpaka uishi na huyo binadamu chumba/nyumba moja!
Ungesoma between the line ungelielewa swali vizuri.labda nikupe hint ya nilichomanisha ,umesema kuishi kwa majaribio before marriage what if ukaishi na wa kwanza ikafail?2?...........
Pingu??? Tena za maisha???? Afu mnazitestia kituo kidogo cha polisi???
Mie bora niende gerezani moja kwa moja
Hahahahaha mkuu kisheria ukiishi naye miezi kazaa tu huyo keshakuwa mkeo, na ukitaka kumuacha lazima mgawane mali zilizopo tehy teh teh .......
miezi kadhaa ni kama unaona anaridhisha, bila shaka mtu kukaa naye wiki 2 tu, inatosha kumsoma/kumjua tabia yake vizuri tu!
Huyo binti anayejihamisha kwao hana wazazi?
Naona mi bado ni wa 47...yani kabisa niamie kwa bwana na baba na mama yangu wako hai. Mbona watanifuata na bakora no matter how old I am.
Kama umeshindwa kumchunguza siku anazo kuja kwa wizi, basi maana hao wasio ogopa wazazi na kuamia kwa wanaumje ili wawe tested mi naona ni nut case