Habari zenu wanajamii. Wanajamvi Mimi nilikuwa naomba ushauri wenu, Mimi niliajiriwa na shirika LA wabelgiji waniajiria bukoba. Katikati ya mkataba wakanihamishia mtwara. Nilifika huku nikafanya Kazi miezi miwili mkataba wangu ukaisha tarehe 2 oktoba. Niliwaomba hela ya kunisafirisha Mimi na vitu vyangu kurudi bukoba waliponiajiria lakini walikataa. Je ipi ni Haki vyangu hapo??. Ahsanteni sana
Ki utaratibu kuna mambo matatu ya kuzingatia kisheria
1. Place of recruitment
2. Place of domicile
3. Resident
Sasa ww umeajiriwa bukoba wakakuhamishia mtwara mkataba umeisha ilikuwa ni wajibu wao kukurudisha mpka bukoba kisheria ikiwa na maan ni sehemu yako uliko ajiriwa mwanzo ndo nyumban kisheria tunasema(place of recruitment)
Halafu naomba mtu unapo tuma. Swar kuhus mkatab plz sema ulikuwa n mkabata wa muda gan? Maan tunawez sema unahak hz kumbe hukustahil kutokan na nature ya mkataba wako