Wana jukwaa Salaam
Kwa wazoefu wa maeneo haya ninaomba msaada.
Mpango wangu ni kuishi mpakani mwa Zambia na Tanzania (karibu na hapo Tunduma) lakini eneo la mpakani kiasi kwamba nikitaka kuvuka kupata mahitaji upande wa pili wa Tanzania ninavuka bila shida.
Pia ni biashara gani hapo inayoweza kunitoa kwa kiasi flani kwa mtaji wa milioni 5?
Wazoefu tusaidiane.