Kuishi kijijini kuna hitaji uvumilivu.

Kuishi kijijini kuna hitaji uvumilivu.

Kristonsia Nkya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
302
Reaction score
292
Kuishi kijijini inabidi uwe mvumilivu[emoji51]
Unaenda kuoga unakumbuka umesaau sabuni unaenda kuchukua unafika bafuni unakuta ng'ombe kanywa Maji yote[emoji1]
Unaenda kuchukua mengine ile kurudi bafuni unakuta mbuzi Kala sabuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mbuzi anakula sabuni Mkuu kama ulikua hulijui hilo jaribu kumtegeshea uone anavo itafuna
 
Back
Top Bottom