Kuishi kijijini inabidi uwe mvumilivu[emoji51]
Unaenda kuoga unakumbuka umesaau sabuni unaenda kuchukua unafika bafuni unakuta ng'ombe kanywa Maji yote[emoji1]
Unaenda kuchukua mengine ile kurudi bafuni unakuta mbuzi Kala sabuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]