Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni kweli demi
Nimeisoma vizuri sana....nadhani alitumia ID nyingine ya kiume so tayari ishaunganishwa na hii....au we unaonaje?
 
Hahahaaaa. Ila kulikuwa na wanaume pia.

Wambea wenzetu. 💃💃💃💃
 
Mi had pm aisee hivi kwanini ujifanye jinsia isiyo yako. Kumbe Kuna wanaume hujifanyisha jinsia Kuwa chezea watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…