Kuishi pamoja!

" wanaume wote wamezaliwa na baba mmoja na mama mmoja" kwa maana karibia wote tabia zao zinafanana.

ngoja hembu tusikie watakavyosema!! wasije nitoa macho bureeee!!!!

Ulikuwepo wakati wanazaliwa?
Susy mshari ww.
 
Nasikiaga kua wanaume ni wachache kuliko wanawake...kwa hili siwi mbinafsi kwahiyo nawaachia wenzangu wanaotaka na kuhitaji zaidi!

Mnhh.......nani aliwahesabu hao wanaume?
 
Sasa bibie mbona unawaonea watoto wa watu???Kama ni kwa tabia mbaya mbona hata sisi karibu tutawafikia!!Usikute wote tulizaliwa na mtu mmoja...aliyetulea tu ndo mwingine!

Mweresee mchokozi kama nn huyo mwanamke.
 
Mweresee mchokozi kama nn huyo mwanamke.

Kweli siku hizi hamna cha wanawake wala wanaume..pande zote zina mambo yasiyofaa na kusema upande mmoja huku tukitetea mwingine ni kudanganyana tu!
 
Kuishi pamoja ni kazi upande wangu mana relationship haziendi kabisaa nikikaa na mtu nyumba moja!!..
Kwa watu kuishi pamoja kabla ya kuoana kama wanawezana haina tatizo, inategemea na makubaliano yao pia walipokutana katika dunia hii..
 

Issue ni complicated kuliko tunavyodhania. Embu fikiria leo unaishi na Juma mwaka mmoja mnashindwana kila mtu anachukua time. Kesho unampata Deo mnakaa miezi sita mnashindwana kila mtu anachukua time, then unakutana na Hamisi mnakaa miaka miwili mnagundua mna tofauti mnatengana kila mtu anaangalia ustaarabu mwingine. Ndani ya hayo mahusiano umeshazaa watoto watatu. Who is a looser? Nadhani huo mfumo una faida kwa wanaume kwani kwa mwanamke ukishakaa na mwanaume mmoja uwezekano wa kuthaminiwa na mwanamume mwingine hasa kwa Africa ni mdogo. Utaitwa "hujatulia". Na hata watoto utakao wazaa wakikua watakuwa wanajiuliza wewe ni mama mwenye tabia gani? Kwa hiyo naweza sema kwa Africa jamii haimuelewi mwanamke anaebadilisha partners hasa kama walishaishi pamoja.
 
Nyumba kubwa kwani waliofungwa pingu za maisha ndo hua hawafungui??Wanaume na wanawake wangapi wanatafuta wenza wapya baada ya kuvunja au ndoa zao kuvunjika??Hamna kinachoguarantee wawili kua pamoja mpaka mwisho...hata ndoa !
 
Tatizo kizazi chetu hakitaki kukabiliana na challenges. Na watu wengi kwa sasa hasa ambao hawapo kwenye ndoa wamekuwa na tabia ya kukatisha tamaa waliomo kwenye ndoa au wale wanaotaka kuolewa. Nashangaa kwa nini wanachukulia ugomvi wa wenye ndoa kama ni big deal, mbona tumekuwa tunagombana na kaka, dada zetu kwenye familia sembuse mtu mliejuana ukubwani na wote mmelelewa mazingira tofauti. There are lots of bennefit of getting married than costs. Jaribu kuangalia maisha ya single parents yalivyo na challenges. Ukiwa na mwenza hata kama hana kipato lakini mawazo ya wawili si sawa na ya mmoja hasa kama kuna tatizo.

Watu wengi wakisikia wamama (maana ndo wanaonekana victims) wakilalamika mara mume wangu mzinzi, bahili etc wanaona basi ndoa ni ndoano. But am telling you even those who are complaining still have good side of the story but they only share their dark sides since they feel like that is what people would like to hear. Maana ukimsifu mumeo utajijengea maadui kwani watu wataanza kukuombea matatizo yakukute ukome.




 
Nachojaribu kusema Lizzy ni kuwa ni rahisi kwa mwanaume kupata mwanamke mpya baada ya kuishi kinyumba na mwanamke kuliko mwanamke. Kwani kama wasemavyo "watu" mwanamme hazeeki. Embu nambie wewe utumiwe na mtu for two years, mtengane. Kama una bahati upate mwingine ukae nae four years, mtengane. Unadhani utaendelea kuwa na market tuuu. Kitakachokukuta ni kuwa when you turn 35 all potential partners will be married. Na kibongo bongo mwanamke lazima awe mdogo kwa mwanume kwa hiyo huwezi kuwa 35 uanze kudate kijana wa 28. Kwa mwanaume yeye hata akiwa 50 kama pesa ipo basi anachukua dogo dogo hata wa miaka 20. Sasa wewe na 35 years you will end up being a looser kwani wale wa umri wako (kama wapo) hata kama hawana wake ni likely wataoa dogo dogo.
Nyumba kubwa kwani waliofungwa pingu za maisha ndo hua hawafungui??Wanaume na wanawake wangapi wanatafuta wenza wapya baada ya kuvunja au ndoa zao kuvunjika??Hamna kinachoguarantee wawili kua pamoja mpaka mwisho...hata ndoa !
 
Nimekusoma nyumba kubwa!Too bad siwezi kuLike nikiwa via mobile!
 
Hii tuhuma nzito lakini kumbuka kama hoja ni ndoa au machafuko kwenye ndoa, chanzo ni mwanamke, kwa mfano wakti wa uchumba au wakati ndoa ikiwa changa wanawake wengi wanaongesha upendo kuanzia sebuleni, jiko, bafuni mpaka chumbani na wanamudu vizuri huduma zote ninaposema
sebuni- heshima kwa mumeo
jikoni- makula kula
chumbani- speed ya mikasi na mitindo ya mikasi haipungui
bafuni - kukandana , massage na kadhalika

sina maana mwanamke ni mtumwa wa mwanaume bali ni nature , hii ni kwenye vitabu vyote vya dini hata wapagani wanafundishwa hivyo, lakini wanawake mmekalia vipodozi tu na mambo ya mchina na ya ndio yanawaponza
" wanaume wote wamezaliwa na baba mmoja na mama mmoja" kwa maana karibia wote tabia zao zinafanana.

ngoja hembu tusikie watakavyosema!! wasije nitoa macho bureeee!!!!
 
mimi naamini ukipata ubavu wako ambao mungu ndio aliokupangia, hata awe na tabia zipi au mpate misuko suko vipi mtaishi mpaka kifo kiwatenganishe. Tatizo ndoa za siku hizi ni za kulazimisha

Hivi nilikwambiaga nakupenda???
 
Lizzy asante ndugu yangu..
hii kitu hii kitu hii kitu
ilini tatanisha sana kama unavyojua..
hembu niulize swali??
hahahahahhaha lol
 
Lizzy asante ndugu yangu..
hii kitu hii kitu hii kitu
ilini tatanisha sana kama unavyojua..
hembu niulize swali??
hahahahahhaha lol

Hahahaha we mwanamke mchokozi wewe.Embu ninong'oneze swali lenyewe!
 


asante..Mungu wako akubariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…