Kuishi pamoja!

" wanaume wote wamezaliwa na baba mmoja na mama mmoja" kwa maana karibia wote tabia zao zinafanana.

ngoja hembu tusikie watakavyosema!! wasije nitoa macho bureeee!!!!

Sidhani kama kuna tofauti sana pia kwa upande wa wanawake.

Kwani Lizzy umefikia wapi na ile Mchumba Search?

Hehe miaka 7 yote alafu siku ya siku nae anakwambia 'huyu mwanamke sijui nilimwoa wa nini'!Hopefully watafika mwisho wa safari

Hata kwa google nimekosa Madam!

ha ha ha ha ha inaelekea usaili wako ni mgumu sana mamaaa...

KILA JAMBO LINA WAKATI WAKE,
WAKATI UKIFIKA WALA HAUTATAFUTA BALI UTATAFUTWA NA KUBEMBELEZWA TENA SANA....

Labda ndoa ianze kuwa kama watawa wa Kikatoliki na nadhiri zao. Wana ndoa wasiweke viapo vya kudumu kwanza bali viapo vya muda (nadhiri za muda). Kwa hiyo siku ya harusi mnakula kiapo cha miaka 3 tu ya uaminifu na blabla bla. Ikifika miaka mitatu mnaangalia kama mnataka kuendelea kuwa pamoja au vipi. Mkiona vipi mnaachana kwa amani lakini mkitaka zaidi mnakubaliana tena kwa miaka mitatu.

Ikishapita miaka sita na bado mnafikiri mna mapenzi ya kweli na kwamba mko tayari kuweka "pingu ya maisha" basi hapo ndio inafanyika ile harusi kabambe sasa ya "Nadhiri za Milele". Mtu yeyote kati yetu akicheat wakati huo anafilisiwa mali zake zote na kunnyang'anywa hata haki za watoto.

good idea,bt nadhani nadhiri/contracts zingefanyika kila wiki,ama mwezi!kuna zile unakuta bwana harusi aneenda kuaga kwa mwanamke wake mwingine manake till aftr honeymoon ndo atakuja tena (bi harusi anazuiwa na kuwekwa ndani,anachati tu).kuna ndoa zinavunjika aftr 3 months!all in all ndoa haikupaswa kuwa nadhiri ya milele manake mioyo imekuwa kengeufu sana!

Excellent!

King'asti, ndoa ya wiki moja moja tena? ..

naongelea contract ya ndoa,i mean renewal.yaani perfectly ingekuwa renewal every morning,ila coz kuna kuwahi foleni ingefanyika kila j2 aftr analysis ya wknd.kama mtu ame-change mind partner ajue immediately,lol

Muoane musioane yote naona ni sawa tu, tena unaweza ukawa hujafunga ndoa ukawa na amani kuliko aliyefunga hiyo ndoa,bora mapenzi,amani na makubaliano tu yaa wawili

ukiishi na mtu manake umemwoa. kisheria ni miezi 6 tunamtambua mtu huyo kama mke/mme wako.
lakini pia neno mke/mume linajengwa na kontext tofauti.
1. kimila/jamii/desturi. hii hua haipo rasmi sana.tunakubaliana me na wewe, unakuja kwangu tunaishi
na tyari tunatambulika kama mme na mke

2.kidini.hii hua formal kwa maana ya matangazo, ndoa na vitu kama vyeti.ikiambatana na features kama pete n.k
huendeshwa zaidina mafundisho ya dini na imani husika.

3. kisheria/mahakama.hii hua formal lakini kimahakama/sheria zaidi.

so me nachukulia kua kama mtu anaishi na mtu kimapenzi manake ni mme na mke.
huendeshwa zaidi na sheria kulingana na mkataba wa wahusika.

naongelea contract ya ndoa,i mean renewal.yaani perfectly ingekuwa renewal every morning,ila coz kuna kuwahi foleni ingefanyika kila j2 aftr analysis ya wknd.kama mtu ame-change mind partner ajue immediately,lol

Wifi asante for zis usiful post!Tutakua tunatumia jumapili kuulizana kama bado tumo au la!Nimepata idea moja nzuri sana....asante wifi!

MMkijiji kweli kabisa nadhiri za muda zingesaidia watu kuwepo kwenye ndoa wanazotaka kua ndani yake na sio kwa kulazimika.Ngoja nifanyie kazi mawazo yako!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…