King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mkuu, ulikuwa hulijui hili? Mbona hakimu angetaka angezidi kupunguza hiyo adhabu! Sheria zetu hazina tofauti sana na mchezo wa mazingaombweKweli TZ shamba la bibi,
Mkurugenzi wa zantel naushad amehukumiwa kwenda jela miaka mi3 au kutoa fine ya laki1
Source:Nipashe
Mkuu, ulikuwa hulijui hili? Mbona hakimu angetaka angezidi kupunguza hiyo adhabu! Sheria zetu hazina tofauti sana na mchezo wa mazingaombwe
Hapo kwa kweli nachoka hata mie, magereza ya Tz ni kwa walala hoi tu
Hata hivyo hizi sheria zimeboreshwa kidogo, hukumbuki hivi miaka ya karibuni kulitokea kesi kuna jamaa alipatikana na hatia ya kumtelekeza mtoto na mahakama ikaamulu alipe Tshs100 kwa kila mwezi tokea alipokacha majukumu na ikamuamulu awe anapeleka kiasi hicho kwa ajiri ya matunzo ya mtoto. Ikumbukwe Ths100 ilikuwa na nguvu sana miaka ya 1970/80 lakini hii hukumu ilikuwa ni ya miaka ya mwanzoni ya 2000Kweli TZ shamba la bibi,
Mkurugenzi wa zantel naushad amehukumiwa kwenda jela miaka mi3 au kutoa fine ya laki1
Source:Nipashe
Du hizi sheria ni nomaaa zinawabeba sana wenye vyeo,kuna mtu aliiba nazi kumi akapigwa nyundo mbili jela pasipo fine
Hata hivyo hizi sheria zimeboreshwa kidogo, hukumbuki hivi miaka ya karibuni kulitokea kesi kuna jamaa alipatikana na hatia ya kumtelekeza mtoto na mahakama ikaamulu alipe Tshs100 kwa kila mwezi tokea alipokacha majukumu na ikamuamulu awe anapeleka kiasi hicho kwa ajiri ya matunzo ya mtoto. Ikumbukwe Ths100 ilikuwa na nguvu sana miaka ya 1970/80 lakini hii hukumu ilikuwa ni ya miaka ya mwanzoni ya 2000
Sasa laki mbili nayo ni pesa? Hata dollar 100 haifiki.Kweli TZ shamba la bibi,
Mkurugenzi wa zantel naushad amehukumiwa kwenda jela miaka mi3 au kutoa fine ya laki1
Source:Majira