mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Mimi sio mzee wala sio kijana,
Mimi ni mkunga kwenye kituo cha afya,sasa huku wanaume wote tunaofanya kazi idara ya afya tunaitwa madoctor,bila kujali area ya specialization yako,
Sasa sijui wananisalimia mimi kama mimi au kwa sababu ni dokita
Nimetoka pwani kuja kutafuta maisha huku
Wamama watu wazima wakikutana na mimi ni ng'wangaruka bhabha huku wamepiga magoti,hawataamka hapo mpaka nimalize salam niondoke,salam ikiwa ndefu hata dakika tatu anyanyuki mpaka mmalize.
Hawa ndio wanawake sasa,
Sio mwanamkea anakusalimia kama anakimbizwa