ila usiku wanakuja kukuroga. na wana huruma hivyohivyo hata kwenye utelezi. speaking from experience.kuwa makini.Mimi sio mzee wala sio kijana,
Nimetoka pwani kuja kutafuta maisha huku
Wamama watu wazima wakikutana na mimi ni ng'wangaruka bhabha huku wamepiga magoti,hawataamka hapo mpaka nimalize salam niondoke,salam ikiwa ndefu hata dakika tatu anyanyuki mpaka mmalize.
Hawa ndio wanawake sasa,
Sio mwanamkea anakusalimia kama anakimbizwa
Wanawake wa pwani hukusalimiaje 😁Mimi sio mzee wala sio kijana,
Nimetoka pwani kuja kutafuta maisha huku
Wamama watu wazima wakikutana na mimi ni ng'wangaruka bhabha huku wamepiga magoti,hawataamka hapo mpaka nimalize salam niondoke,salam ikiwa ndefu hata dakika tatu anyanyuki mpaka mmalize.
Hawa ndio wanawake sasa,
Sio mwanamkea anakusalimia kama anakimbizwa
Ya kweli ama? So wamama wa kisukuma sio wa kuwaoa kabisa.ila usiku wanakuja kukuroga. na wana huruma hivyohivyo hata kwenye utelezi. speaking from experience.kuwa makini.
Sasa wewe si mwanamke!Watu tunatofautiana, Mi mtu mzima akinipigia magoti nitajisikia vibaya sana.
Kiufupi kunyenyekewa sana sipendi.
Wanakuroga ili iweje? Uwapende au basi tu?Kuroga wanaroga sana,mara mbili wamenirushia makombora ila nayapangua,huku uchawi ni jadi
Aisee, wanaroga ili usitembee na binti zao? Hili kabila basi waoane wenyewe kwa wenyewe.Bibi zao wanaroga hatari
Na wewe unaitikiaje?Wana huo muda utasikia oyaaa shwari na hapo umemzidi umri
Unamaanisha kila msukuma ni mchawi?Uchawi usukumani ni jadi yao.....kila mtu anao.....!!kazi kwako
Hawanisalimii mimi wanasalimia kazi yangu,mimi ni mkunga lakini naitwa doctor,huku kila mwanaume anayefanya kazi hospitali ni doctorNi wewe ndo unajiona kijana ila wao wanakuona mzee kwahiyo tatizo lipo kwako hata kama unamiaka 20 ukiona unasalimiwa na mtu mwenye miaka 30 ujue unamuonekano wa kizee