mi hapo ndo huwa sielewagi... hivi damu ikiisha mwilini na kabla ulikuwa.nayo nyingi, huwa inakwend wapi..??? au inageuka kuwa nyama?
Mkuu inaonekana hujui damu ni kitu gani..ungejua ingekusaidia sana majibu ya maswali yako
ungefanya la maana sana kueleza hayo unayodhani siyajui, kuliko kuendelea kunieleza nisiyoyajuwa. hainisaidio mimi wala mwingine aliye kama mimi kwenye ufahamu wa hiloMkuu inaonekana hujui damu ni kitu gani..ungejua ingekusaidia sana majibu ya maswali yako
Mjuze sasa ili ajue, ungesoma vizuri Maelezo yake hata usingeandika huu upuuzi.
Mkuu ulipimwa damu? mimi pia nilipimwa nikaambiwa nna damu kidogo, katika maelezo niliyomueleza daktari ni kuwa si mtumiaji mkubwa wa maji, nikaandikiwa dawa moja ya maji na vidonge nikatumia huku nikishauriwa kula mboga za majani kwa wingi na kunywa maji mengi, tena bora wewe utakuwa umewahi mimi niliumwa hadi nikisima nadondoka, kunywa maji mengi pia fuata ushauri wa daktari.
pole sana mkuu...huo ugonjwa ulitaka kuniua wakati niko form one 1998 mtwara tech... hali ilikuwa mbaya sana. nashukuru mungu leo niko pouwa nakunywa lita 3 kwa siku za maji, juice nusu lita na mboga 100 gm
mi hapo ndo huwa sielewagi... hivi damu ikiisha mwilini na kabla ulikuwa.nayo nyingi, huwa inakwend wapi..??? au inageuka kuwa nyama?