Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
hujatuambia una miaka mingapi? na hayo maradhi yako yamekuanza lini? na unapokuwa umelala mikono yako huwa unailalia? inaonyesha una matatizo ya ganzi kwenye viganja vyako vya mikono jaribu kumuona upesi Daktari akupe
dawa na unapo amka asubuhi jaribu kuifanyisha masaji viganja vyako vya mikono na uwe unakunywaa maji ya
uvuguvugu glasi 2kabla ya kunawa uso ukisha nawa uso kunywa tena maji ya uvuguvugu glasi moja kisha kaa dakika
45 ndio waweza kula chakula na mchana kunywa glasi moja maji ya uvuguvugu kisha kaa dakika45 ndio waweza kula
chakula chamchana na usiku kabla ya kula chakula cha usiku kunywa tena maji ya uvuguvugu glasi 1 kaa dakika 45
kisha kula chakula cha usiku na wakati wa kulala kunywa glasi mojamaji ya uvuguvugu kisha lala usingizi anya hivyo
kila siku utapona inshallah.
Mkuu Uncle Rukus Hiyo ni Dalili yaAsante MziziMkavu , Nina umri wangu ni zaidi ya miaka 40, ili tatizo limejitokeza kama miezi mitatu sasa. wakati mwingine hiyo hali inapotea na kujirudia.... Nitazingatia ushauri wako mkuu.
Habari wana JF Kheri ya mwaka mpya
Siku za hivi karibuni nimekubwa na hali ambayo sijaweza kuielewa kama ni ugonjwa au la, ni kwamba kila niamkapo asubuhi au mda wowote kama nilikuwa nimelala, na kuwa siwezi kushika kitu chochote kwa dakika kama 5 hivi,viganja vya mikono vinakuwa havina nguvu kabisa, kama vile vimekufa nganzi flani hivi. Kuponyeza simu kwa wakati huo ndio zoezi gumu kuliko yote..
Je naomba kujua huu ni ugonjwa ama ni kidu gani? na kama ni ugonjwa ningependa kupata ushauri kutoka kwenu naweza je kuondokana na tatizo hili.