Aksante baba, CDM ni itikadi ni imaniHakuna binadamu anaweza kuidhoofisha CDM; hata uwazuie kufanya mikutano miaka 10; sana sana utakuwa unajishosha mwenyewe, hata uwape kesi badi mziki ni uleule...CDM ni kama dini watu wameapa kufa nayo kwa shida na raha, kwa mvua na jua....hata bila malipo watu wataifania kazi tu.