Kuiteketeza CCM jukwaani kunahitaji siku chache tu. Zitto Kabwe afunika Kigoma, uwanja wafurika hadi kuzidiwa

Kwa staili hii jiwe hata siku moja ataruhusu mikutano ya kisiasa, hata kama ni mikutano ya kampeni za uchaguzi polisi watazuia kwa visingizio vya taarifa za kiintelijinsia.
 
Mkuu;
Mara hii umeishasahau ''mafuriko ya Lowassa''!

Hoja sio kujaza watu bali hao watu uliojaza wamekubaliana na ulichokisema na pia wamekifanyia kazi!

Kumbuka kwa wengine mikutano kama hii ni sehemu ya kwenda kupitishia siku baada ya kazi!

Baada ya uchaguzi mnakuja na kelele mkisema wameiba kura!
 
Kwa siasa za udaku na umbea za upinzani

Itawachukua karne upinzani kuingia ikulu


2020 kuna hatari vizazi vijavyo vikasimuliwa kuliwahi kuwepo chama kinaitwa Chadema
Umechanganyikiwa mkuu , Chadema inahusika nini na ugonjwa wa mtu ? Mwanadamu aliyezaliwa na Mwanamke siku zake si nyingi , hakuna haja ya kujimwambafy
 
Naona raia wa burundi wamejazana hapo kumsikiliza mzushi akizusha jipya hapo hahahaaaaa ila hamna watu siwapendi kama hawa wanasiasa wa upinzani maana ni wanafiki, mafisadi, weziiii, majizi, alafu yanajifanya yanapigania haki za wa tz maskini pumbavu sana hawa. Takukuru mkimaliza huko lindi kwenye ufuta hamieni kwa hawa mafala wa upinzani.
 
Hapo Magufuli siku akienda nakuhakikishia watu wataingia kwa kupanda mpaka hapatatosha.
Zitto wewe ni mnafiki sana, usione umejaza ukavimba kichwa.
Swali ni Je, ni kweli hao watu walikuwepo?? Huyo ataenda lini huko tumpime??? Tunachojua ni kuwa, kama wangejaza hivi mji mwingine huoni kungekuwa na shida kiongozi?? Kuna wanaosema ati, Upinzani kwishney!! Tujiulize, hao walikuwa mawe au mingebuka wamevuliwa na kokoro??
 
Muulize uongo aliowaongopea Ijumaa umeishia wapi? Na nyinyi nyumb basi mjitambue kidogo basi?? Ameshawageuza kama peer sasa mko Kigoma!!
Jitutumue tu ungeona umma ulivyolipokea jambo hili usingecomment utumbo huu. Jamaa hapendwi hata chembe hata midoli imemchoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…