Serikali madarakani ni ya CCM. Yapo mengi ya kushangaza:
Ni Latra?
LATRA hili la ving'amuzi ni uonevu uliopitiliza
Ni hospitali?
Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi?
Ni abiria kwenye mabasi?
Kwanini mabasi ya mikoani 'yalazimishwe' kuingia kila stendi?
Wapi?
Ni wakulima, walaji, wafanyakazi au wafanya biashara? Wapi kuna nafuu?
Tuko kama tunaoongozwa na majambazi.
Panahitajika mustakabala mpya uliopo umefeli.