CCM ni chama kikubwa sana
Jamaa wamechoka akili, wanahitaji kupumzika wapate muda wa kutafakari wapi wanapolipeleka raifa, kilichopo sasa ni kama vile wamekata tamaa wanaacha kila kitu kijiendee tu.
CCM ni chama kikubwa sana
Hii salaam mpya ni ya genge lipi?KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI
CCM ni chama kikubwa sana
Mbowe, Hamad Rashid, Lisu na Zitto Kabwe!Ndimo yalimo yale magenge mengine na lile la walamba asali?
Isije kuwa ulimaanisha wale wabunge wenu pendwa mliowakumbatia kama luba?Mbowe, Hamad Rashid, Lisu na Zitto Kabwe!
Aida anahost Mikutano yote ya Mbowe mkoani RukwaIsije kuwa ulimaanisha wale wabunge wenu pendwa mliowakumbatia kama luba?
Aida anahost Mikutano yote ya Mbowe mkoani Rukwa
Serikali madarakani ni ya CCM. Yapo mengi ya kushangaza:
Ni Latra?
LATRA hili la ving'amuzi ni uonevu uliopitiliza
Ni hospitali?
Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi?
Ni abiria kwenye mabasi?
Kwanini mabasi ya mikoani 'yalazimishwe' kuingia kila stendi?
Wapi?
View attachment 2525953
Ni wakulima, walaji, wafanyakazi au wafanya biashara? Wapi kuna nafuu?
Tuko kama tunaoongozwa na majambazi.
Panahitajika mustakabala mpya uliopo umefeli.
Kisicho na akiliCCM ni chama kikubwa sana