Kuitukana CCM is not easy

Kuitukana CCM is not easy

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
11,966
Reaction score
11,218
Dubwasha kubwa kama CCM kulitukana unatafuta ugomvi mkubwa sana.

Unapokosoa viongozi wao lazima ujue mipaka yako.

Wengine tunapo wapa vipande vyao viongozi wao tunaelewa ni kwa wale ambao wanaweza kulala na kidali, ila usivuke mipaka.

Acheni kuangaika na mikwala ya sakapoko, wakosoaji wa CCM tunaijua mipaka yetu.

Good morning
 
sycophants seeking appointive positions in vain.
There is a silent ‘p’ in ‘psy’ not ‘sy’ rudi shule kwanza.

As for me I am just doing them a simple favour.

Siasa zao bado sana na sina huo wala uvumilivu kuona hayo mabadiliko.

Napenda tu kuwakosoa watu ambao wanajaribu lakini siwezi ajiriwa na serikali ya Tanzania mpaka naingia kaburini.

It’s not for me
 
Back
Top Bottom