Dubwasha kubwa kama CCM kulitukana unatafuta ugomvi mkubwa sana.
Unapokosoa viongozi wao lazima ujue mipaka yako.
Wengine tunapo wapa vipande vyao viongozi wao tunaelewa ni kwa wale ambao wanaweza kulala na kidali, ila usivuke mipaka.
Acheni kuangaika na mikwala ya sakapoko, wakosoaji wa CCM tunaijua mipaka yetu.
Good morning