Kuitwa interview Gaming board of Tanzania.

Kuitwa interview Gaming board of Tanzania.

Isenye

Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
97
Reaction score
628
Habari wapambanaji wenzangu.
Ebana kwa wale tulioomba nafasi za kazi GBT,majina yametoka tayari.
Mwenye experience ya written za hawa jamaa hasa kwa upande wa Gaming inspector na license officer atupe dondoo ili tupate mwanga.
Nimeambatanisha pdf la majina hapo chini.
 
Attachments

Mkuu Mimi sijui Chochote!
Haki vile sijuiiiii ... Ntakudanganyaa

Kitu pekeee, Nakuombea Neema ya Mungu na Damu ya Mwana Kondoo ikusaidie Kupata hii kazi.
 
Mkuu ukipata kazi Kuna gambling game moja ninaifungua ambayo itakuwa ni game changer kwa watanzania, nahitaji niwakomboe , niwape makazi Bora. Gaming ni ya kubeti kuhusu nyumba,ukibahatika tu unajishindia nyumba
 
Hiyo gambling mpaka apate kazi au bado gambling inaendelea?
 
Back
Top Bottom