Habari wapambanaji wenzangu.
Ebana kwa wale tulioomba nafasi za kazi GBT,majina yametoka tayari.
Mwenye experience ya written za hawa jamaa hasa kwa upande wa Gaming inspector na license officer atupe dondoo ili tupate mwanga.
Nimeambatanisha pdf la majina hapo chini.
Mkuu ukipata kazi Kuna gambling game moja ninaifungua ambayo itakuwa ni game changer kwa watanzania, nahitaji niwakomboe , niwape makazi Bora. Gaming ni ya kubeti kuhusu nyumba,ukibahatika tu unajishindia nyumba