Kuitwa Kazini DAWASCO

Lutu2

Member
Joined
Mar 11, 2010
Posts
37
Reaction score
16
Wana JF tafadhari kama kuna mwenye taarifa ya kuhusu nini kinaendelea pala DAWASCO baada ya intavyuu za nafasi ya Billing Officers naomba anijuze
 
km jamaa anapotosha bc ww ungesema mchakato umefikia wapi mkuu
 
km jamaa anapotosha bc ww ungesema mchakato umefikia wapi mkuu
Ndiyo majina yako kwa CEO yanasuburi approval so uvumilivu unahusika wadau wenzangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…