Yaa nadhani itakua ni kweli maana jana kuna mshkaji wangu nae kapigiwa juu ya post hizohizo na ktk kuwahoji wakamwambia anachotakiwa ni kusema kama yupo tayari then wamtumie barua ya ajira.
Aliulizia wapi wanampeleka wakamjibu kuwa huyo mpiga simu ametumwa tu hajui zaidi so asubiri barua itamuelekeza. What I guess may be there some successful candidates not reported at their stations.