Kuitwa kazini udom

Kuitwa kazini udom

nkwezi

Member
Joined
May 8, 2007
Posts
57
Reaction score
19
Samahani wana jf, hivi watu waliofanya oral interview UDOM wameshaitwa kazini? Hasa madereva na watu wa idara ya afya?
 
Udom wanatoa ajira kwa kujuana ,kma hujuan na mlacha au kikula imekula kwako
 
Kwa kweli sina uhakika ila nilipata taarifa kuwa tayari sisi tulifanya juzi na sijapata taarifa kama wameitwa pia.
 
dah tutasubiri sana ukitokea umeitwakufanya kazi itakua c mchezo, manake toka mwezi wa nane mwaka jana mpaka januari mmmh!
 
Kwa kweli sina uhakika ila nilipata taarifa kuwa tayari sisi tulifanya juzi na sijapata taarifa kama wameitwa pia.

Ulifanya nafasi ipi? na hao walioitwa ni nafasi zipi?
 
Back
Top Bottom