N nkwezi Member Joined May 8, 2007 Posts 57 Reaction score 19 Jan 12, 2012 #1 Samahani wana jf, hivi watu waliofanya oral interview UDOM wameshaitwa kazini? Hasa madereva na watu wa idara ya afya?
Samahani wana jf, hivi watu waliofanya oral interview UDOM wameshaitwa kazini? Hasa madereva na watu wa idara ya afya?
R RONALDO Member Joined Nov 2, 2011 Posts 84 Reaction score 9 Jan 13, 2012 #2 Udom wanatoa ajira kwa kujuana ,kma hujuan na mlacha au kikula imekula kwako
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Jan 13, 2012 #3 RONALDO said: Udom wanatoa ajira kwa kujuana ,kma hujuan na mlacha au kikula imekula kwako Click to expand... acha uzushi....unajua udom inawafanya kazi wangapi
RONALDO said: Udom wanatoa ajira kwa kujuana ,kma hujuan na mlacha au kikula imekula kwako Click to expand... acha uzushi....unajua udom inawafanya kazi wangapi
kvelia JF-Expert Member Joined Jun 24, 2009 Posts 246 Reaction score 44 Jan 13, 2012 #4 Kwa kweli sina uhakika ila nilipata taarifa kuwa tayari sisi tulifanya juzi na sijapata taarifa kama wameitwa pia.
Kwa kweli sina uhakika ila nilipata taarifa kuwa tayari sisi tulifanya juzi na sijapata taarifa kama wameitwa pia.
Capitol Member Joined Nov 26, 2010 Posts 28 Reaction score 8 Jan 13, 2012 #5 dah tutasubiri sana ukitokea umeitwakufanya kazi itakua c mchezo, manake toka mwezi wa nane mwaka jana mpaka januari mmmh!
dah tutasubiri sana ukitokea umeitwakufanya kazi itakua c mchezo, manake toka mwezi wa nane mwaka jana mpaka januari mmmh!
N nkwezi Member Joined May 8, 2007 Posts 57 Reaction score 19 Jan 13, 2012 Thread starter #6 kvelia said: Kwa kweli sina uhakika ila nilipata taarifa kuwa tayari sisi tulifanya juzi na sijapata taarifa kama wameitwa pia. Click to expand... Ulifanya nafasi ipi? na hao walioitwa ni nafasi zipi?
kvelia said: Kwa kweli sina uhakika ila nilipata taarifa kuwa tayari sisi tulifanya juzi na sijapata taarifa kama wameitwa pia. Click to expand... Ulifanya nafasi ipi? na hao walioitwa ni nafasi zipi?