kuitwa kazini usaili wa August 2012 secretariat ya ajira

ba nso

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
668
Reaction score
225
kwa waliofanya usaili secretariati ya ajira kwa mwezi august, bado hawajaita kazini? Naomba tujuzane mana tuliambiwa ndani ya mwezi na muda unazidi kwenda. Mwenye taarifa tafadhal!
 
plz jaribu kuweka maelezo mazuri ya kichwa cha habari una2changanya monday hii ok
maelezo ya kichwa cha habar yako tofauti.omba m2 mweye taarifaa cio kujiandikia as kuitwa kazin
 
Kama ukiona kimya jua binafsi kuwa haukufanikiwa.
 
plz jaribu kuweka maelezo mazuri ya kichwa cha habari una2changanya monday hii ok
maelezo ya kichwa cha habar yako tofauti.omba m2 mweye taarifaa cio kujiandikia as kuitwa kazin

aisee pole sana mkuu. Una tbrifa yoyote lakin?
 
wameita watu kazini tayari usaili wa mwezi 8, cheki website yao majina yapo.
 
Back
Top Bottom