kuitwa kazini usaili wa sekretariati August 2012

ba nso

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
668
Reaction score
225
wadau usaili ulio fanyika kuanzia august 6, 2012 secretariati haija ita kazini? Kama bado mbona muda unazidi kwenda na walisema tutaitwa ndani ya mwezi 1?
 
Walisema mtaitwa au walisema wataita waliofaulu? Ukiona kimya potezea, na umeniudhi sana kwa kichwa chako cha habari!
 
Back
Top Bottom