Kuitwa kituo cha polisi

LuCKNOVICH

Senior Member
Joined
Jan 22, 2011
Posts
104
Reaction score
11
Msaada wakuu.
unapigiwa simu kwa no ya cellfon kwamba unaitwa kiuoni kwa shitaka.Nataka kujua ni utaratibu gani unatumika kumwita mtu kituo cha police.Takuwa na uhakika gani kama huyo aliyenipigia cm ni askai.Nisaidieni.
 
Kisheria hakuna utaratibu wa namna hiyo wa kuitwa Polisi.Huo ni utaratibu wa kuitwa kuchukua zawadi za promosheni za Tigo,AIRTEL,VODA na ZANTEL.Ni uhuni tu huo.....usiende.
 
utaratibu ukoje?
 
hata utaratibu wa kumkata raia askari atumie vielelezo gan? Je askari anaruhusiwa kumshambulia raia kisheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…