Latest version
Member
- Mar 1, 2014
- 40
- 9
kulingana na suala zima la mchakato wa katiba mpya unavyoendelea na vituko vya kila siku bungeni hasa kutupiana maneno na kuvunja sheria za bunge..je kuitwa na kuingizwa kwenye kamati ya mashauriano Bwana Mboye,Lipumba na Pinda wanaweza toa mwelekeo mzuri wa huu mchakato wa katiba mpya?