Latest version
Member
- Mar 1, 2014
- 40
- 9
Mboye na Lipunda ni nani? Sina hakika kama wewe ungependa jina lako likosewe ama kwa makusudi au bahati mbaya!kulingana na suala zima la mchakato wa katiba mpya unavyoendelea na vituko vya kila siku bungeni hasa kutupiana maneno na kuvunja sheria za bunge..je kuitwa na kuingizwa kwenye kamati ya mashauriano Bwana Mboye,Lipumba na Pinda wanaweza toa mwelekeo mzuri wa huu mchakato wa katiba mpya?
kwa Mbowe na Lipumba sioni tatizo,ila kwa hilo zigo sura mbaya ndo kuna maluweluwe!
wanatupotezea muda hao,wiki ijayo tunataka rasimu ianze kujadiliwa kwa kuanza kuunda hizo kamati.Muda wa kutunga kanuni umetosha ni muda wa Tz kuwakaripia hao walafi.