mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,084
- 647
kwanza mnaenda msimbazi centre watu kama 5000 iyo ni written
mnapunguzwa mnabaki tena 2500 mnapiga nyingine tena
1000 nyingine tena
500 discusion
100 discusiion
50 discussion
20 oral
wki nzima interview mkubwa.......
kwanza mnaenda msimbazi centre watu kama 5000 iyo ni written
mnapunguzwa mnabaki tena 2500 mnapiga nyingine tena
1000 nyingine tena
500 discusion
100 discusiion
50 discussion
20 oral
wki nzima interview mkubwa.......
Huu ni utoto unaleta unakwenda kwenye Interview wakati haufahamu ni kazi gani umeomba? unatumia Internet unashinda JF na Facebook badala ya kufunguwa website yao ili usome Hiyo Benki ilianzia wapi ni nani muanzilishi ina account za aina gani inatarget wateja wa namna gani!!written maswali gani wanauliza!
Huu ni utoto unaleta unakwenda kwenye Interview wakati haufahamu ni kazi gani umeomba? unatumia Internet unashinda JF na Facebook badala ya kufunguwa website yao ili usome Hiyo Benki ilianzia wapi ni nani muanzilishi ina account za aina gani inatarget wateja wa namna gani!!
Internet kazi yake siyo Facebook na JF, jielimishe wewe mwenyewe kupitia hii mitandao, ni uzembe na kutojiamini kutaka kujuwa utaulizwa swali gani,wewe unatakiwa uwe Ready 4 Whatever.
Utayakumbuka maneno haya niliyokwambia.punguza jazba mkuu.
Huyu nae anataka kufanya kazi Benki, anashindwa hata kujuwa tafsiri ya neno deadline 21may!!?? hawa ndiyo wasomi wetu tunaozalisha sasa hivi. hili ni janga kwa Taifa.hawa access bank wanatuchanganya coz nimeona tangazo lao la kazi jana na wameandika deadline tarehe 21may mwaka huu na nafasi walizotoa ni cashier na micro loan officer,je na mimi nitume au ndo imekula kwetu tulochelewa?
Huyu nae anataka kufanya kazi Benki, anashindwa hata kujuwa tafsiri ya neno deadline 21may!!?? hawa ndiyo wasomi wetu tunaozalisha sasa hivi. hili ni janga kwa Taifa.
Dharau umejidharau wewe mwenyewe, wewe hujui wenzako waliapply lini ndio maana wameitwa kwenye Interview, na wewe Tangazo uliloliona halihusiani na intake yao, hapa panahitaji kuwa Profesa kulielewa hili kwamba kwenye taasisi nyingi Vacancy inapotolewa kila moja ina deadline yake?me nnavyojua deadline ikishafika ndo watu wanaanza kuangalia barua zilizotumwa then watu wanaanza kuitwa kwenye interview ndo maana nikashanga hila ww ndo janga me nimeuliza kiasi cha kuniambia tu unaanza kuleta dharau
Dharau umejidharau wewe mwenyewe, wewe hujui wenzako waliapply lini ndio maana wameitwa kwenye Interview, na wewe Tangazo uliloliona halihusiani na intake yao, hapa panahitaji kuwa Profesa kulielewa hili kwamba kwenye taasisi nyingi Vacancy inapotolewa kila moja ina deadline yake?
Utayakumbuka maneno haya niliyokwambia.
Yani unampiga biti halaf unampa hints kama sio maswali yenyewe!Huu ni utoto unaleta unakwenda kwenye Interview wakati haufahamu ni kazi gani umeomba? unatumia Internet unashinda JF na Facebook badala ya kufunguwa website yao ili usome Hiyo Benki ilianzia wapi ni nani muanzilishi ina account za aina gani inatarget wateja wa namna gani!!
Internet kazi yake siyo Facebook na JF, jielimishe wewe mwenyewe kupitia hii mitandao, ni uzembe na kutojiamini kutaka kujuwa utaulizwa swali gani,wewe unatakiwa uwe Ready 4 Whatever.